ZARI AJITETEA KWA DIAMOND KUHUSU TUHUMA ZA KUCHEPUKA
Baada ya Diamond kuonyesha kuumizwa na picha ya Zari inayomuonyesha
akiwa na kidume mwingine kwenye swimming pool, mrembo huyo ameshindwa
kuvumilia kwa kuamua kujitetea kutokana na sakata hilo zito
linalomkabili.
Kupitia mtandao wa Instagram Zari amejitetea kwa kuandika, “Photo credit was by his wife. He is my kids’ uncle, the late’s cousin And I happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone will always find fault when it’s not there just to cover and turn around stories of all the dirty they do behind you back.”

No comments: