RAIS MAGUFURI ASHANGAA MACHINGA KUPIGWA FAINI KWA KUTOKUSAJILIWA WAKATI….
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli
ameshangazwa na wafanyabiashara wadogo (wamachinga) kufukuzwa na kupigwa
faini kwa kutosajiliwa ilhali kampuni kubwa ya uchimbaji madini nchini
(Acacia) ikiendesha kazi bila kusajiliwa.
Akizungumza leo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akipokea ripoti ya pili ya Mchanga wa Madini.
“Sisi viongozi tujiulize ni mara ngapi tunawadhalilisha wafanyabiashara wadogo wa Kitanzania wakiwa hawajasajiliwa? alihoji Rais Magufuli.
“Nimesoma katika ripoti hii, kampuni hii inafanya biashara kinyume cha sheria, haijasajiliwa mahali popote, hata brela haiitambui lakini inafanyabiashara ya matrilioni ya fedha,” amesema Rais Magufuli.

No comments: