Bnner

Breaking News
recent

MAZINGIRA YA ALBAMU HATUJAYATENGENEZA –BELLE 9



Msanii wa Bongo Fleva, Belle 9 amedai mazingira ya wasanii kuuza albamu bado hayajatengenezwa.


Muimbaji huyo wa RnB ameeleza ujio wa kuuza nyimbo katika mtandao huenda ukapoteza utamaduni wa watu kununua albamu hata pale zitakaporejea

“Inawezza ikaharibu au ikapunguza ule ushawishi wa watu kutoa albamu kwa sababu mtu anaweza kupata ngoma nyingi mtandaoni lakini kama mtu ni shabiki wa msanii na unampenda, kitu kizuri ni kuwa mzalando, kama unampenda msanii wako ujue kama kuna biashara zinaendelea,” ameongeza.

No comments:

Powered by Blogger.