TEASER :HII NDIO KAZI MPYA YA D’BANJ ALIYOMUEKA MREMBO WA DJ KHALED
D’Banj kutoka Nigeria ameamua kuwaweka tayari mashabiki wake kwa ujio wa kazi yake mpya.
Msanii huyo ambaye pia yupo chini ya lebo ya G.O.O.D Music ya Kanye West, amethibitisha kuwa hivi karibuni ataachia wimbo wake mpya ambapo kwenye video yake amemtumia mrembo wa Marekani, Bernice Burgos ambaye pia ametokea kwenye video ya ‘Do You Mind’ ya Dj Khaled.
D’Banj akiwa na mrembo Bernice Burgos wakati wakishoot video
No comments: