IS WALIPUA MSIKITI WA KIHISTORIA NCHINI IRAQ
Jeshi nchini Iraq limethibitisha
kwamba wanamgambo wa dola ya kiislam Islamic State wameulipua msikiti
mkuu wa Al-Nuri ulioko mjini Mosul .
mapambano lengo likiwa ni kuteka ngome kuu ya wanamgambo hao wa kiislam wa Is nchini Iraq.u iliyopita wakati alipokuwa akitangaza "ukhalifa" mpya.
Wakati hayo yakijiri, wanamgambo hao wa IS wao wanadai kwamba ndege za jeshi la Marekani ndiyo zilizo zilizousambaratisha msikiti huo.
No comments: