WAVULANA WAVAA SKETI KUENDA SHULENI UINGELEZA KUPINGA KUNYIMWA RUHUSA YA KUVAA KAPTULA
30 wamevaa minisketi kuenda shuleni wakiandamana kupinga, baada ya kuambiwa kuwa hakuruhusiwa kuvaa kaptula.
Mwalimu mkuu wa shule, Aimee Mitchel alisema kuwa kaptula hazikuwa kati ya sare za shule.
Wanafunzi walisema kuwa hatua ya kufanya maandanao ilitokea kwa mwalimu mkuu ambaye alikuwa ametoa pendekezo hilo awali, licha ya wanafunzi kusema walihisi hakumaanisha hivyo kasisa.
Wanasema wana matumaini kuwa shule itaangalia upya sera za kuvaa katptula kutokana maandamano hayo.
"Kaptula kwa sasa si sehemu ya sare zetu kwa wavulana na siwezii kufanya mabadiliko yoyote bila ya kuaomba ushauri wa wazazi na familia zao.
"Hata hivyo kutokana na kuwepo majira ya joto, ninatarajia kuwepo mabadiliko siku za usoni," Bi Mitchell alisema.
No comments: