Bnner

Breaking News
recent

NYOTA WA MUZIKI KATY PERRY AFIKISHA WAFUASI MILIONI 100 KATIKA TWITTER



Msanii wa Marekani Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza duniani kupata wafuasi milioni 100 katika mtandao wa Twitter.

Mtandao huo ulichapisha kanda ya video inayoonyesha jumbe zake zote tangu alipojiunga na mtandao huo pamoja na ujumbe unaosema "Today, we #WITNESS history"{Leo #Tumeshuhudia Historia} Witness ni jina la albamu mpya ya Perry.

Mwimbaji wa Canada Justin Bieber ni wa pili kwa idadi kubwa ya wafuasi katika mtandao wa Twitter akiwa na milioni 96.7 naye rais Obama akiwa wa tatu na wafuasi milioni 91.



No comments:

Powered by Blogger.