Bnner

Breaking News
recent

MCHEZAJI WA STAND UNITED ASAJILIWA ZIMBWABWE



Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Stand United ya Mkoani Shinyanga, Maarufu ‘Chama la Wana’ na Coastal Union ya Tanga, Mnigeria, Abasirim Chediebere ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili ya kuitumkikia timu ya Caps United ya Zimbabwe, ambao ni Mabingwa wa ligi kuu soka nchini humo.


Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria, Abasirim Chediebere (kulia)
Caps United wamemsaini nyota huyo baada ya kufuzu majaribio ya wiki mbili.

Chidiebere akiongea kwa furaha kutoka Zimbabwe, amesema anafurahia kupata changamoto mpya.

No comments:

Powered by Blogger.