WANAUME 4 WATOROKA JERA KUPITIA NJIA YA ARDHINI INDONESIA
Polisi nchini Indonesia wanawatafuta
wanaumume wanne raia wa kigeni ambao walitoroka jela mjini Bali
wakitumia njia ya chini ya ardhi.
.
Wanaume hao walitambliwa kama
Shaun Edward Davidson kutoka Australia, Dimitar Nikolov raia Bulgaria,
Raia wa India Sayed Muhammad na raia wa Malaysia Tee Kok King.Mkuu wa jela la Kerokoban alisema anaamini wanaume hao bado wako kisiwani humo.
Magereza nchini Indonesia hukumbana na watu wengi wanaukamatwa kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya na visa vya kutoroka jela ni vingi.
Wanaume hao wanaaminiwa kuitoroka jela kupitia njia ya chini ya radhi.
No comments: