USISAHAU KUWA NDONDO CUP 2017 IMEENDELEA LEO
Mchezo wa Kundi E uliyochezwa leo Jumatatilu ya June 19 2017 katika uwanja wa Mwalim Nyerere ni mchezo kati ya Mlalakuwa na Goroka FC game ambayo ilimalizika kwa Mlalakuwa kuondoka na point tatu kwa ushindi wa magoli 4-0.
Magoli ya Mlalakuwa yalifungwa na Henry Mkongo dakika ya 16, mchezaji wa zamani wa Yanga Kigi Makassy akafunga goli la pili dakika ya 26, dakika ya 86 Ayoub akapachika goli la tatu kabla ya Fakhi Hakika kuhitimisha ushindi kwa kufunga goli la nne dakika ya 89
No comments: