Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), limetoa tahadhari juu ya
matapeli waajira ambao wamekuwa wakiwatapeli watu kuwa watawapa ajira
kwa kuwalipa viwango mbalimbali za fedha kulingana na walizoomba
Tanesco.
Soma taarifa kamili: Na Moureen Kiango
TANESCO YAWATAADHALISHA WANAOOMBA AJIRA
Reviewed by Habari na Michezo
on
June 15, 2017
Rating: 5
No comments: