MANENO YA HALIMA MDEE BAADA YA KUADHIBIWA NA BUNGE
Baada ya Halima Mdee na Ester Bulaya kuadhibiwa kutohudhuria Vikao vya Bunge kwa mwaka mmoja kwa kosa la kudharau kiti cha Spika, Mbunge huyo wa Kawe ameonesha kutoumizwa na adhabu hiyo iliyotolewa leo June 5 2017.
Badala yake alitumia account yake ya Twitter kupost picha akiwa Moshi kwenye msiba wa aliyekuwa muasisi wa Chadema Ndesamburo na kuandika >>>”Tunamsindikiza jemedari wa MAGEUZI MHE PHILEMON NDESAMBURO kwenye nyumba ya milele!Porojo za DOM haziniumizi kichwa!” Halima Mdee.
No comments: