Bnner

Breaking News
recent

DOKII AFUNGUKA KUHUSUKURUDI KUIGIZA NA KUGEUKIA VICHEKESHO



Mwimbaji na msanii mkongwe wa maigizo Tanzania Dokii ameamua kurudi kwenye uigizaji kwa namna ya pekee baada ya kugeukia vichekesho ambapo mara hii ameungana na Timamu na mchekeshaji Mpoki.

Dokii amekiri kuwa kimya kwa muda mrefu akifanya biashara tofauti ya muziki na uigizaji lakini sasa ameamua kurejea akigeukia vichekesho.

No comments:

Powered by Blogger.