REAL MADRID WATANGAZA DAU LA RONALDO
Baada ya kuipa mafanikio makubwa klabu yake ya Real Madrid ya Hispania, Mshambuliaji wa Klabu hiyo Cristiano Ronaldo ameutaarifu uongozi wa klabu hiyo kuwa anataka kuondoka endapo atapata klabu ya kumnunua .

Cristiano Ronaldo
Klabu ya Real Madrid kupitia Gazeti la Marca imetangaza kwa vilabu viwili vya Man United na PSG vyenye nia ya kunasa saini ya mkali huyo kuwa kama vitakuwa tayari kulipia Euro milioni 160 basi watamuachia Ronaldo aondoke.
No comments: