FAMILIA YA WCB ILIVYOJIACHIA NA TUZO YA RAYVANNY
Baada ya Rayvanny kutoka WCB kushinda tuzo ya BET 2017 katika
kipengele cha International Viewers Choice, na kuwasili nayo nchini
jana jioni, hizi ni baadhi ya picha kutoka ndani ya familia ya WCB
walivyojiachia katika picha na tuzo hiyo.

Rich Mavoko

Lukamba, mpiga picha WCB

Mkubwa Fella na Rayvanny

Eris Mzava, mpiga picha WCB

Meneja wa Harmonize, RicardoMomo

Meneja wa Rayvanny, Makame

Lizer, prodyuza Wasafi Records
No comments: